Matthew 11:29-30

29 aJifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu. 30 bKwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.”

Copyright information for SwhNEN